BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Tunaomba radhi kwa wasomaji wetu wote

 

Tunaomba radhi kwa wasomaji wetu wote wa app hii kwani ndani ya wiki kadhaa kulitokea ililafu ambayo ilisababisha maudhui yetu yalibadilika na kuwa kwenye mlengo ambao wasoamaji wetu hawakuelewa.

Kuna maboresho tulikuwa tunayafanya hivyo ikatulazima tubadili maudhui ndani ya muda fulani.

Hivyo kwa sasa app imerejea hivyo tunaomba muendelee kupata chakula cha ubongo, kila siku saa tisa usiku tunaweka hapa somo jipya.

Asante.

Post a Comment

0 Comments