BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 

Kila wakati, jaza akili yako mawazo chanya, na kusiwe na nafasi yoyote ya mawazo hasi.

Kila wakati,  jaza siku yako kwa kuchukua hatua, na kusiwe na nafasi hata kidogo ya uvivu.

Kila wakati, jaza mwili wako vyakula vya afya,na kusiwe na nafasi ya sumu mwilini mwako.

Kila wakati, jaza maisha yako upendo, na kusiwe na nafasi ya kuchukiana na wengine.

Kila wakati, jaza maisha yako mambo mema, na kusiwe na nafasi ya kuweza kuruhusu uovu.

Kila wakati, jaza maisha yako amani, na kusiwe na muda wa kuleta mgogoro wowote ule.

Kila wakati, jaza maisha yako kujiamini, na kusiwe na nafasi ya mashaka yoyote.

Ili kufanikiwa zaidi, jaza maisha yale yote yaliyo ya muhimu, na kwa kujaza mambo hayo utafanikiwa sana.


Post a Comment

0 Comments