BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 

Kati ya kitu ambacho unatakiwa kukiepuka sana kwenye maisha yako, ni kufanya mambo yako kwa haraka, lakini unakuwa hauko sahihi, yaani karibu kila kitu unakuwa umekosea.

Hiyo haraka ni ya nini, kama umefanya na kukosea. Ni mara kumi ukafanya kidogo kidogo, lakini ukafanya kwa usahihi, lakini si kwa haraka na kukosea.

Jitahidi kama utafanya kwa haraka uwe sahihi, ila kama utafanya haraka na umekosea, achana na hiyo haraka, amua tu kwenda mwendo wa kobe.


Post a Comment

0 Comments