BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 

Mafanikio yako ya kweli yanakuja, kama kweli wewe unafanya mambo yako, na hufikiri kama kuna mtu mwingine anakuangalia, unafanya kwa kuangalia msukumo wako binafsi na malengo yako tu.

Watu wengi ni wahanga kwa kufanya mambo, huku wakiwaza au kufikiri kwamba kuna watu wanawaangalia, kwa kufanya mambo kwa mfumo huo, hujikuta wakipotea kabisa, kwa sababu ya kuwaangalia watu.

Mbegu ya mafanikio ya kweli, inapatikana kwa wewe kuamua kujitegemea na kujisimamia. Jitahidi sana usifanye mambo yako, kwa kuwaonyesha watu unafanya, hebu fanya wewe kama wewe na utaona mafanikio yake.


Post a Comment

0 Comments