Ishi kwa malengo/Purpose. Ishi ukikaa ukijua ni nini unachotaka kwenye maisha yako na unataka ukifikie lini. Malengo yafanye yawe wazi.
Ishi kwa shauku/Passion. Hapa unatakiwa uishi ukiwa na matamanio makubwa ya kuona ndoto zako zinatimia. Kwa kuishi kwa namna hiyo utafanikiwa.
Ishi kwa kujiamini/Confidence. Kujiamini kwenye maisha yako ndio kila kitu. Kama hujiamini, aisee utakwama sana. Jiamini uone jinsi utakavyofanikiwa.
Kwa hiyo, mafanikio yanategemea wewe, uishi kwa malengo, uishi kwa shauku na uishi kwa kujiamini. Ukichunga sana msingi huu, amini, UTANIKIWA.

0 Comments