Ili uweze kupata kile unachokitaka kwenye maisha yako, unahitajika ujue mambo matatu tu.
Moja, jua kile unachotaka kukifanya/knowing what you what to do. Lazima kitu hicho ukijue na kiwe wazi kwako ya kwamba ni kitu unataka kukifanya.
Mbili, jua jinsi ya kukifanya/knowing how to do it. Je, ni kwa namna gani kitu hicho unaweza ukakifanya, je, unajua namna ya kufanya kitu hicho.
Tatu, fanya kitu hicho/doing it. Fanya kitu hicho na chukua hatua na huhitaji kusubiria kitu tena. Unatakiwa ukifanye tu.
Haya ndio mambo matatu, yanaweza kukusaidia wewe, kuweza kupata chochote ukitakacho.

0 Comments