Siri kubwa ya kulifanikisha jambo lolote hata liwe kubwa vipi ipo kwenye kulianza jambo hilo. Na pia siri kubwa ya kulianza jambo lolote ambalo linaonekana kwako ni kubwa sana kwako wewe ipo kwenye kuligawa jambo hilo katika vipande vidogovidogo.

0 Comments