Kila wakati jiandae kukutana na fursa muhimu katika maisha yako. Ishi katika makao wa kupokea fursa. Linapokuja suala la kusema ukae katika mkao wa kupokea fursa wengi huanza kufikiri sana juu ya pesa. Hata hivyo fursa haihusishi pesa peke yake bali inaweza kuwa hata mtandao wa marafiki ambao watakusaidia kupata pesa hizo.

0 Comments