BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

Jitahidi sana, kama unafanya kitu usifanye kitu kwa sababu ya…usifanya kitu kwa sababu fulani fulani hivi…hizo sababu zikija kuondoka hutaweza tena kukifanya kitu hicho kwa ufasaha au kutokukifanya kabisa.

Kwa mfano, kama unafanya kazi kwa sababu ya pesa, ipo siku ukiambiwa hulipwi hutaweza kufanya tena kazi hiyo. Fanya kazi au kitu kwa sababu una mapenzi nacho makubwa sana na kwa kufanya hivyo utafanikiwa.


Post a Comment

0 Comments