BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 Nikukumbushe hivi tu…Ndani yako unao utajiri mkubwa kuliko unavyofikiri. Utajiri huo umeuficha kwenye vipaji vyako na maarifa uliyonayo. Utajiri ulionao ndani yako ni zaidi ya pesa na mali unazozimiliki nje. Pesa na mali unazozimiliki kwa nje ni matokeo ya ule utajiri mkubwa ulio ndani kwako. Kitu cha kufanya kwako ni kutambua kipaji na maarifa yapi unayo kisha anza kuyatumia kukufanikisha.

Post a Comment

0 Comments