BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

Njia bora ya kuweza kujifunza kwa wengine na kupiga hatua, ni kuangalia yale wanayofanya kwa mafanikio, na wewe kufanya kwa namna yako yaani 'watch and immitate' Ukifanya hivyo, utaweza kufikia mafanikio.

Kinachowafanya watu wengi washindwe kufanikiwa ni kwao kukataa kujifunza kutoka kwa waliofanikiwa. Wanataka wafanye mambo wanayoyafanya kila siku, matokeo yake ni kushindwa kupata matokeo tofauti.

Kama hatua ambazo umekuwa ukipiga miaka yote zimekukwamisha. Kwa sasa, angalia kwa waliofanikiwa, wanafanyaje, na wewe fanya, sio kitu kibaya, ukiamua kuiga na kufanya, kwani utafanikiwa.


Post a Comment

0 Comments