Kila ifikapo tarehe 19 ya mwezi wa kwanza mafanikio app huwa inasherehekea mwaka mwingine toka kuanzishwa kwake.
Ikiwa leo ndiyo tarehe hiyo basi mafanikio app inatimiza mià ka mitatu toka ilipoanzishwa, hivyo kwa namna ya pekee kabisa tunakushukuru sana wewe kuwa sehemu ya mafanikio makubwa ya app hii, hatuna neno zuri la kukwambia zaidi ya kusema asante sana.
Nb: Ukimya wetu wa kutoweka masomo hapa kila siku unatokana na sababu ambazo zipo nje ya uwezo wetu ila watalamu wetu wanalishughulikia hivyo muda si mrefu tutarudi kwa kasi ya 5G hivyo tunaomba uendelee kuwa mvumilivu. asante.

0 Comments