BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Salam za mwaka mpya 2024


Heri na fanaka tele kwako kwa kufanikiwa kuuona mwaka mpya wa 2024. Ujumbe wangu kwako ni kwamba pamoja na kupanga malengo na mipango mbalimbali kumbuka kuwa unapaswa kuwa na mahusiano mazuri na Mungu wako.

Ni muhimu sana kulizingatia jambo hilo kwa sababu hakuna mafanikio yeyote utakayoyapata kama mahusiano yako na Mungu yatakuwa hayapo. 

Kila kitu ambacho tunakifanya ni lazima tumtangulize kwanza yeye ili tuweze kuapata matarajio tuyatakayo.

Nikutakie tena heri na fanaka tele za kuuona mwaka mpya 2024

Imeandikwa na Benson Chonya

Post a Comment

0 Comments