BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Maisha ili yaende yanahitaji vitu hivi.



Kama utafanya kazi nzuri kutwa nzima, hiyo inakusaidia wewe kuwa na usingizi mzuri na mapumziko mema usiku. Na kama utapumzika kwa kulala vizuri usiku, hiyo pia inakusaidia kuwa kazi nzuri siku inayofuata.

Maisha ni mzunguko wa juhudi na kupumzika na ndivyo yanavyokwenda hivyo na huwezi kudanganya. Ukizembea katika kimoja unapoteza kingine, na ukifanya vizuri kwa upande mmoja na upande mwingine unafanikiwa pia.

Maisha ili yaende vizuri, yanataka uwe na usawa/balance katika kila kitu. Unatakiwa uwe na usawa kwenye mlo, kwenye mazoezi na hata kwenye kazi zako, usawa unahitajika ili ufanye kazi kwa ufasaha na kufanikiwa.

Kumbuka, a good, productive day of work enables you to have a great rest at night. A great rest at night enables you to have a good, productive day of work.

Imeandikwa na Imani Ngwangwalu

Post a Comment

0 Comments