Ndani yako kuna mwelekeo, ndani yako kuna moyo wa wa ujasiri. Ndani yako pia kuna nguvu za uzingativu, nidhamu na uimara. Vitu vyote hivyo tayari vipo ndani yako, kinachokuwa kimebakiwa kwako ni kuviamsha tu ili vifanye kazi na ufanikiwe.
Unachosubiri ni nini kuamsha mambo hayo ili yakupe mafanikio. Unachotakiwa kufanya ni kuamua kutoka ndani yako kuwa unataka kutumia vitu hivyo. Tambua ndani yako wewe tayari una nguvu na uwezo, sasa tumia kufanikiwa.
Wako
rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu
kupitia WhatsApp.
0 Comments