BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jambo La Muhimu Katika Mafanikio Yako.

 


Mojawapo ya jambo muhimu katika safari ya mafanikio yako,  ni uzingativu. Watu wote ambao huwa wanafanikiwa katika mambo yao ni watu wa kuzingatia sana. Hawa huwa ni watu ambao hawana papara, wakianzisha jambo hulifatilia mpaka kulifanikisha.

Mara nyingi unapoweka nguvu ya uzingativu katika jambo moja, huwa zinaleta matokeo makubwa na kuyashangaza. Hakuna kinachoshindikana katika nguvu hizi za uzingativu zinapotumika.

Hiki ni kitu ambacho unatakiwa kukiweka kwenye akili yako na kukifanyia kazi. Na hili ni jambo la lazima sana katika safari yako ya mafanikio, bila hivyo huwezi kufanikiwa.

Imeandikwa na Melisa Kawa wa Dar es salaam, Tanzania.

0745268398

Post a Comment

0 Comments