Ipo siri moja inayohusu mshara ambayo unatakiwa kuifahamu ambayo ni "mara nyingi mshahara unapoongezeka matumizi nayo huongezeka.
Hilo lipo wazi kabisa, wapo baadhi ya watu hudhani kwamba kama wataongezewa mshahara huenda matatizo yao yangeenda kuisha.
Ila ukweli ambao unatakiwa kuujua ni kuwa mshahara mkubwa hautatui matatizo, bali ongezeko la mshahara huongeza matumzi pia.
Hivyo kama kuna ongezeko la mshahara wako, unatakiwa kupunguza matumizi yako, ili pesa inayobaki iweze kujizalisha zaidi kwa kuwekeza sehemu ambayo pesa hiyo itajizalisha zaidi.
Ndimi Afisa Mipango Benson Chonya

0 Comments