BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Elewa jambo hili katika maisha yako.


Hakuna kitu ambacho huwa tunakifurahia katika maisha ya shule kama kuhitimu masomo hayo. Kuhitimu kwa masomo ni furaha ya kila mwanafunzi.

Pamoja na furaha hiyo, wengi hubwanga manyanga na kutojishughulisha tena na masula ya shule na kuanza kufanya mambo mengine kabisa, ambapo watu wengi huwa hawataki kujifunza tena, wengi huhisi kile wanachokijua kinatosha.

Huo siyo ukweli, Ila unachotakiwa kujua Shule siyo mwisho, shule ndiyo mwanzo. Unapohitimu shule ndiyo mwanzo wa kuweza kujifunza mambo mapya zaidi ya yale uliyokuwa unajifunza wakati upo shule.

Jifunze zaidi mambo yatakayofanya uwe chanya katika maisha yako. Jifunze masula ya fedha kama kweli unataka kuwa na mafanikio ya kweli.

Ndimi Afisa Mipango Benson Chonya

Post a Comment

0 Comments