BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Njia nyepesi ya kuondokana na madeni.


Orodha ndefu ya madeni ndiyo kitu pekee ambacho kinakufanya ushindwe kuona thamani ya kila fedha yako unayoipata, hii ni kwa sababu kila fedha unayoipata hupitiliza moja kwa moja katika kulipa madeni hayo.

Orodha ndefu ya madeni imesababisha maisha ya wengi kuwa na majuto kila iitwapo leo. watu wengi wanashindwa kufanya vitu vya maana kwa sababu ya mlolongo mlefu wa madeni.

Ikiwa unataka kuona thamani ya fedha unayoipata basi inakubidi kuachana na utitiri wa madeni yanayokusonga, na njia pekee ya kuepukana na madeni ni kuishi kulingana na kipato chako.

Ndimi Afisa Mipango Benson Chonya

Post a Comment

0 Comments