Maisha ya watu maskini huendelea kubaki ya vilevile kila wakati kwa sababu ya mitizamo yao ya kila fedha inayokatisha mikononi mwao.
Fedha inayokatisha mikononi mwako na kile unachoenda kukifanya kupitia fedha hiyo ndicho kitakachomua ukae upande gani? Je kwenye mafanikio au kwenye umaskini.
Kwa mfano, tabia za maskini kwenye suala la fedha, mara nyingi kipato chake huwa ni sawa na matumizi yake, pia viingiza pesa huwa vidogo kuliko vinavyotoa pesa mfukoni mwake.
Hivyo ni jambo lenye kuleta maana maishani mwako kama utaepuka tabia hiyo ya maskini, kwani kufanya hivyo utaendela kubaki pale pale kwenye futa ukae.
Ndimi Afisa Mipango Benson Chonya.

0 Comments