BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Ajiri aina hii ya watu ili ufanikiwe.



Kanuni ya kifedha unayopaswa kuifahamu siku hii ya leo ni kuwa mara nyingi mtu mwenye akili, huajiri watu waliomzidi akili.

Watu hawa huwa wanao mchango mkubwa sana kwenye ukuaji wa kibiashara, na maendeleo ya ofisi kwa ujumla. 

Mawazo yako pekee hayatoshi kuleta mapinduzi ya kibiashara bali ili ukue kwenye biashara yako na kupata matokeo chanya pia unahitaji mawazo ya watu wengine ambao umewaajiri.

Kwa nukta hiyo nikuambie tena unapaswa kuajiri watu waliokuzidi akili kwa maendeleo ya biashara yako kwa ujumla.

Ndimi Afisa Mipango Benson Chonya

Post a Comment

0 Comments