BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Sababu ya matajiri kubaki kwenye utajiri wao ni hii.



Ndoto na matamanio ya wengi tunaoishi chini ya sayari hii ya jua ni kwamba wengi wetu, tunatamani maisha ya mafanikio yenye utajiri ndani yake.

Pamoja na kutafuta maisha hayo ya kitajiri tumekuwa tunatamani kuwa na maisha hayo huku tukiwa hatujui mtu mwenye utajiri huwa ana tabia zipi zimpazo utajiri huo.

Ikiwa hata wewe unataka mafaniko ya kitajiri basi unatakiwa kukumbuka kuwa tabia za kitajiri mara nyingi kipato chako ni lazima kiwe ni kikubwa zaidi ya matumizi yako ya kila siku, 

Pia matajiri wengi hubaki na utajiri wao kwani wao huwekeza kwenye vitu vinavyoingiza pesa zaidi mfukoni mwao, kuliko kwenye vitu vinavyotoa pesa mfukoni.

Tunachopaswa kuelewa ni kuwa maisha ya kitajiri hutengenezwa na kanuni hiyo.

Ndimi Afisa Mipango Benson Chonya.

Post a Comment

0 Comments