BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Chagua jambo hili kwenye maisha yako.


Mara nyingi kwenye maisha ya haya kila siku lipo kundi ambalo ni la kipato cha chini. Mara nyingi watu wa kundi hilo huwa wamejiwekea mipaka maishani mwao ambayo hufanya wao kutokufanikiwa zaidi kwenye mambo yao.

Wao mara nyingi huwa na vitu ambavyo hutoa pesa mifukoni mwao, yaani kila pesa wanayoipata huwekeza zaidi kwenye matumizi zaidi,na hii ndiyo sababu ya kuwa watumwa kwa sababu kila pesa wanayoipata hupiliza katika matumizi.

Vilevile watu wa kipato cha chini huwa hawana vitu ambavyo huwa vinaongeza fedha kwenye mifuko yao, zaidi ya kutoa fedha mifukoni mwake. Tabia hii endelevu ya ya kutokuwa na viingiza pesa vimesababisha maisha yao yazidi kuwa magumu zaidi kila uchwao.

Kumbuka, maisha ni kuchagua, hivyo unapaswa kuchagua kufanya vitu ambavyo vitakuingizia pesa zaidi mifukoni mwako na si kutoa pesa hizo.

Ndimi Afisa Mipango Benson Chonya.

Post a Comment

0 Comments