Unapopitia changamoto za aina fulani maishani mwako haupaswi kulia, kwani kulia huko si jawabu sahihi ya kile kilichokuumiza bali kulia husaidia huongeza masononeko yenye kukufanya ujione upweke zaidi.
Unapopitia changamoto ngumu zaidi maishani mwako, usisononeke bali ili uweze kupata faraja na majibu sahihi ya kile kinachokusonga unatakiwa kumshirikisha Mwenyewe Mungu kwani yeye ni msaada mkubwa kwa watu wote.
Hivyo kukaa na upweke pasipo kutafuta majibu sahihi ikiwa ni pamoja na kumshirikisha Mwenyezi Mungu katika mambo magumu yanayokusonga ni kuendelea kujiumiza mwenyewe.
Mungu hana upendeleo muuombe yeye kila wakati akupe majawabu sahihi ya changamoto zako zinazokusonga, kwani yeye ni muweza wa yote.
Ndimi:
Afisa Mipango, Benson Chonya.
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.

0 Comments