BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Mtazamo chanya ndiyo huleta mafanikio.

Tabasamu mwanana lenye kuleta maana halisi ya maisha ya mafanikio mara nyingi hujengwa na mtazamo chanya wa mhusika mwenyewe. 

Huwezi kusema unataka kufanikiwa huku mtazamo wako ukiwa upande wa hasi, hapo huwezi kuyafikia mafanikio uyatakayo.

Ukweli uliyo bayana ni huu kwamba ili uweze kutengeneza aina hiyo ya tabasamu mwanana lenye kuleta maana halisi ya mafanikio unatakiwa kuelewa mafaniko bila kutumia njia zisizo rasmi inawezekana. 

Mtazamao chanya kwenye suala la kufikia uhuru wa mafanikio yako hujengwa na imani chanya juu ya mafanikio hayo, na hapo ninkuanzia kwenye kuyapata mpaka kuyaishi. Pia ni lazima uamini mafanikio ni haki ya kila mmoja wetu, hivyo kila mmoja wetu anapaswa kupambana mpaka kufikia hitaji ya kile akitakacho.

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments