BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Njia ya kuondokana na kuvurugwa kwenye maisha.




Kuvurugwa kunaleta ugunduzi mpya. Kuvurugwa kwenye kazi na hata biashara ni hali ya kawaida. Kuna wakati unafika na kuona kila unachofanya hakieleweki au kuchoshwa na namna mambo yanavyofanywa.

Hapo ndipo pazuri kwa sababu unakuwa kwenye hatua nzuri ya kuja na ugunduzi mpya. Unapojikuta kwenye hali ya kuvurugwa, fikiria njia mpya na bora ya kufanya kile unachofanya kwa sasa, utakifanya vipi?

Wako rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

dirayamafanikio@gmail.com

BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments