BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Fanya hili kabla hujaanza siku yako.


Watalamu wa mambo ya mafanikio wanashuri ya kwamba kabla ya kuanza siku yako au kabla ya kuanza kufanya jambo lolote lile basi ni muhimu sana kuweza kusoma makala, vitabu au kusikiliza kitu ambacho kitakupa hamasa ya kufanya jambo fulani lenye kukuletea mafanikio hapo baadae.

Unapoaanza siku yako kwa kupata habari mbaya au za udaku basi utakuwa umeenza siku yako vibaya kwa sababu kutakuwa hamna jambo la maana ambalo litakusaidia kukujenga kwenye kile utakachoenda kukifanya kwa siku husika.

Hivyo ni muhimu sana kuweza kujifunza mbinu hii ya kusikiliza au kusoma kitu ambacho kitakupa hamasa ya kiutendaji katika jambo lolote lile ambalo unalolifanya kabla hujaanza siku au majukumu yako. Soma makala, sikiliza audio zitakazokujenga kila siku kabla ya kuanza majukumu yako.

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments