BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Kama unataka mafanikio makubwa fanya haya.

Kama unataka mafanikio makubwa, kuna wakati inakulazimu kufanya kazi bidii, kufanya kazi kwa muda mrefu na bila kukata tamaa, bila hivyo hakuna mafanikio.

Kufanya kazi kwa bidii bila kukata tamaa kunalipa sana. Binadamu tunapenda matokeo ya papo kwa hapo, yaani nipe nikupe, ufanye kazi halafu  baada ya kazi ulipwe mara moja.

Sasa mafanikio hayako hivyo, bali yanakutaka ufanye kazi kwa bidii sana tena kwa muda mrefu bila kukata tamaa ndipo utakapoona matunda mazuri ya kile unachofanya.

Waangalie watu wenye mafanikio makubwa. Ni watu wa kufanya kazi sana, na si wepesi wa kukata tamaa, na wewe unatakiwa uwe hivyo, ili kupata mafanikio makubwa

Wako rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

dirayamafanikio@gmail.com

BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments