Miongoni mwa changamoto kubwa zinazoikabili dunia hii ni pamoja na kutokuwepo na watu wenye uwezo wa kutatua changamoto au matatizo fulani.
Wengi wa watu waishio katika dunia hii kila jambo ambalo lipo katika sura ya changamoto basi wao huiachia serikali kusubiri tatizo fulani litatuliwe na serikali husika.
Lakini ukweli ulio wazi ni kwamba endapo unataka mafanikio ya aina fulani na unazongwa na changamoto fulani basi usisubiri serikali yako ndiyo itatue tatizo hilo.
Bali unatakiwa kuwa mmoja ya watu wenye uwezo wa kutafuta majibu ya kila changamoto ambayo unayokukabiri, ukiendeleka kusubiri kila tatizo ulilonalo litatuliwe na serikali yako ni kwamba utazidi kuchelewa unakotaka kwenda. Serikari ni wewe mwenyewe.
Ndimi:
Afisa Mipango, Benson Chonya.
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.
0 Comments