Ukitaka kufanikiwa katika jambo lolote lile basi hakikisha ya kwamba unajiwekea mipaka kwenye kila jambo unalolifanya. Mipaka hii itakusaidia kutokupoteza muda kwenye mambo yasiyo ya msingi.
Watu wengi wanashindwa kufanikiwa katika mambo wayafanyayo kwa sababu ya kutokuwa na mipaka, wengi hufanya jambo ambalo hata hawakupanga kufanya na huko ndiko kunakoitwa kutokuwa na mipaka.
Hivyo kwenye jambo lolote lile ni lazima uwe na mipaka yaani unatakiwa kuelewa ni mambo gani ya kufanya na yapi si ya msingi ambayo hutakiwa kufanya ili uweze kuepukana na tatizo la kutokupoteza muda.
Ndimi:
Afisa Mipango, Benson Chonya.
Bonyeza
hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail
BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.

0 Comments