BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jinsi ya kutengeneza kipato chako cha wakati ujao.

Kwenye maisha yako ya kila siku hakikisha ya kuwa unaweza kutengeneza kipato chako cha wakati ujao. Kipato hiki ni kizuri sana hukusaidia kwa wakati huo wakati ujao.

Kipato hiki cha wakati ujao ni kama vile kuwekeza kwenye ardhi, nyumba, upandaji wa miti na vitu vingine kama hivyo. Uwekezaji wa vitu hivyo vya wakati ujao unatakiwa kufanyika sasa.

Kwa mfano, kama ukinunua ardhi leo, faida ya ardhi hiyo huwezi kuiona leo bali  utaiona thamani hiyo utaiona miaka ijayo kama utaamua kuiuza, kwani ardhi huongeza thamani kila uchwao.

Kama utaamua kuwekeza kwenye ujenzi wa nyumba leo hii na kuamua kuigeuza nyumba hiyo kuwa kitega uchumi chako, faida ya nyumba hiyo utaiona baada ya miaka kadhaa kwa sababu kodi huongezeka kila siku.

Hivyo kwenye maisha yako ili uwe na kipato endelevu wekeza kwenye aina hii ya miradi ili kujihakikishia kipato kijacho. Kuwekeza kwenye kipato kijacho ni kuzuri sana, kama huamini watafute watu weliwekeza kwenye miradi hii watakwambia ukweli. 

Imeandikwa na afisa mipango Benson Chonya.
0747030303

Post a Comment

0 Comments