BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Acha kuishi hivi, bali fanya hivi.

Acha kuishi kwa kusukuma siku tu, ilimradi iende, ishi kwa kuamua kuleta mabadiliko ya maisha yako. Ishi kwa kufanya mambo yatakayoleta maana ya maisha yako leo na kesho. 

Ikiwa utakuwa unaishi maisha ambayo hayaleti matokeo, basi utakuwa unapoteza sana maisha yako mwenyewe. Matokeo bora na ya uhakika, ni kitu ambacho lazima ukipate wewe.

Kila siku hakikisha unakuwa unaleta mabadiliko chanya  ya maisha yako. Kama hauleti mabadiliko basi hiyo ni sawa na kazi bure. Acha kuishi kwa kusukuma siku, leta matokeo.

Wako rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

dirayamafanikio@gmail.com

BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments