BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Tafuta pesa na uzipate.

Kuna sehemu kubwa inayokuzunguka wana pesa na wewe ndio huna, basi elewa kuna sehemu hujui kitu, unatakiwa kujifunza zaidi na kujua shida iko wapi hadi umeshindwa kuwa na pesa.

Acha kuridhika na hali uliyonayo. Kama huna pesa, komaa na jitahidi sana kufanya kazi kwa juhudi kama zote ili upate pesa. Narudia, tafuta shida kwako iko wapi, hadi uwe hauna pesa? Tafuta pesa, na uzipate.

Wako rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

dirayamafanikio@gmail.com

BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments