BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Waepuke watu hawa katika maisha yako.

Kati ya watu ambao hutakiwi kuwasikiliza wakati unaelekea kwenye safari yako ya mafanikio, ni watu wanaosema kwamba hicho unachokifanya ni kitu ambacho hakiwezekani na huwezi hata kukifanikisha.

Kama una watu wa namna yao karibu yako, hao achana nao. Kuna watu wengi sana ambao walishaambiwa kama wewe hivyo, lakini waliamua kuziba masikio hadi kufanikisha ndoto zao na hawa kusikiliza kitu.

Kama kuna mtu anataka kesema hilo unalofanya haliwezi kufanikiwa, mwache aendelee kusema, hayo ni maoni yake wewe kazana na kuweka juhudi, usikubali maoni ya watu yakatishe ndoto zako kubwa.

Wako rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

dirayamafanikio@gmail.com

BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments