BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Kila jambo linapokuja kwako fanya hivi.

Kwa vyovyote vile mambo yanavyokuja kwako, jifunze kuyachukulia kwa hali ya amani, hata kama yamekuja kwako kwa njia ya hovyo, yachukulie kwa amani, acha kutumia hasira.

Inachukua nguvu, kuyachulia mambo kwa hali ya utulivu na amani hasa yanapokuja hovyo. Utulivu mkubwa unatakiwa, kama ukiyachukulia mambo kwa hasira hasira, unapotea.

Wako rafiki katika mafanikio ; Imani Ngwangwalu

Bonyeza hapa kuwasiliana nami kupitia E-mail

dirayamafanikio@gmail.com

BONYEZA HAPA http://wa.me/255687449428 ili kuwasiliana na Imani Ngwangwalu kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments