BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Maaumuzi sahihi unayopaswa kuyachukua kwenye biashara yako.



Mafanikio ya kibiashara ni akili ya mtu mwenyewe, mara nyingi hii hutokana na vile anavyokuwa mwepesi wa kufanya maamuzi sahihi kwenye mambo yaliyo sahihi pia.

Kama utaamua kufanya maamuzi ya hovyo katika maamuzi yako basi utapata matokeo ya hovyo pia, na katika hili epuka sana kuwa miongoni mwao.

kwa muktadha huo, miongoni mwa maamuzi sahihi unayopaswa kuyachukua ili uweze kupata matokeo sahihi ni pamoja na kuangalia namna ya kuchukua bidhaa kwa ajili ya kufanya biashara yako.

Katika hili, angalia sehemu ambayo unaweza nunua bidhaa kwa bei ndogo na anglia sehemu ambayo unaweza kuuza kwa bei nzuri. Ukifanikiwa katika hili utaona faida ya kile unachotaka kuuza. 

Ndimi: Afisa Mipango, Benson Chonya.

bensonchonya23@gmail.com

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nami kupitia WhatsApp.


Post a Comment

0 Comments