BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jambo la kujifunza kutoka kwa Indira Gandi

Indira Gandi anatukumbusha ya kuwa wito mkubwa tunapaswa kuwa nao katika maisha haya kila siku hususani suala la kufanikiwa anasema kila mmoja wetu anapaswa kuamini.

Imani ambayo anaizungumzia Indira Gandhi ni imani ambayo ni chanya, ambapo anatutaka tuamini katika mitizamo sahihi huku imani yetu kubwa ikiamini kuwa kila jambo linawezekana kufanikiwa kwa viwango vya hali ya juu sana.

Indira Gandhi anasema kama tutakuwa tuna imani hasi kwenye baadhi ya mambo itakuwa ni ngumu sana kwetu kuweza kufanikiwa kwa sababu imani zetu zitakuwa haziendi sambamba na kile tunachokitafuta. 

Kwa mantiki hiyo kila wakati imani ya kila mmoja wetu inatakiwa kuamini kuwa kila jambo linawezekana, ukiamini hivyo ni lazima utafanikiwa.

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp, au BONYEZA HAPA mafanikioapp@gmail.com kuwasiliana nasi kupitia email kwa ajili ya Maoni, Ushauri, Mapendekezo au  Changamoto.


Post a Comment

0 Comments