Mwanasayansi Albert Einsten anasema kuwa kila mmoja wetu ili aweze kuishi maisha ya furaha anapaswa kuamini kwenye malengo aliyojiwekea na kisha kuyatekeleza malengo hayo.
Ni muhimu kuwa na imani na malengo yetu kwa sababu kila kitu huanzia kwenye imani, kama hutokuwa na imani juu ya jambo fulani ni lazima jambo hilo halitafanikiwa kwa sababu wewe mwenyewe huamini ya kufanikiwa katika katika jambo hilo .
Albert Einstein anasema kuwa kila wakati tunapaswa kuelewa kuwa kama tutaamua kuamini kwenye malengo yetu ni lazima tutafanikiwa tu hii nj kwa sababu tutawekeza nguvu nyingi kwenye utekelezaji wa malengo hayo kwa sababu imani yetu kubwa ipo kwenye kufanikiwa katika jambo hilo.
Kila wakati tunapaswa kukumbuke tu kuwa, kila kitu huanza na imani. Imani ndiyo msingi wa mafanikio ya kila mmoja wetu.
BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp, au
BONYEZA HAPA mafanikioapp@gmail.com kuwasiliana nasi kupitia email kwa
ajili ya Maoni, Ushauri, Mapendekezo au
Changamoto.
0 Comments