BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jambo la kujifunza kutoka kwa Zasa Zsa Gabor

Zasa Zsa Gabor anatukumbusha kuwa katika maisha haya ya kila siku basi wakati mwingine unatakiwa kuwa kichaa kwa sababu ukichaa huo utakusaidia kusonga mbele zaidi.

Hii ikiwa na maana ya kuwa wakati mwingine kwenye kile unachokifanya basi epukana sana kufanya jambo fulani kutokana na mazoea uliyozea bali hakikisha unafanya kazi kwa ziada zaidi ili kupata matokeo ya zaida.

Kama ulizoea kufungua biashara yako saa tatu asubuhi anza kufungua saa moja kisha uone ni matokea ya aina gani utakayoyapata, si katika biashara tu bali ukichaa wa kuleta matokeo chanya unatakiwa kwenye kila eno unalotaka likuletee mabadiliko.

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp, au BONYEZA HAPA mafanikioapp@gmail.com kuwasiliana nasi kupitia email kwa ajili ya Maoni, Ushauri, Mapendekezo au  Changamoto.


Post a Comment

0 Comments