BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jambo la kujifunza kutoka kwa Marcus Aurelius



Marcus Aurelius anasema kuwa kwenye maisha ya mafanikio hata siku moja usipuuze vitu vidodogo kwa sababu kama utakuwa mpuuziaji wa vitu hivyo vidogo vidogo basi sahau kabisa kuhusu kutimiza malengo yako.

Hii ikiwa na maana ya kuwa Marcus Aurelius anatukumbusha kuwa kila wakati tunapaswa kuthamini kila kilicho kidogo kwa sababu ndicho kitakachokutengeneza kitu kikubwa.

Kama ni fedha, usiseme fedha ndogo bali fedha hizo unazoziona ni ndogo kama utaweka umakini zinaweza kuwa fedha nyingi zaidi, si kwenye fedha pekee bali kwenye kila kitu ambacho unakiona ni kidogo acha kikudharau bali wekeza nguvu na juhudi zako ili kitu hicho kiwe kikubwa zaidi.

BONYEZA HAPA https://wa.me/255747030303 kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp, au BONYEZA HAPA mafanikioapp@gmail.com kuwasiliana nasi kupitia email kwa ajili ya Maoni, Ushauri, Mapendekezo au  Changamoto.


Post a Comment

0 Comments