BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Jambo la kujifunza kutoka kwa Mark Twain

Mark Twain anatukumbusha sana mimi  na wewe ya kuwa,  "Huwezi kufanikiwa bila kibali chako mwenyewe" hii ikiwa na maana ya kwamba mtu yeyote ambaye anataka kufanikiwa  akatika  uso huu  wa dunia basi anakiwa kuwa tayari kuweza kukabiliana na kila changamoto na raha zitakazosaidia kupata mafanikio hayo.


Post a Comment

0 Comments