BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 

Je, umeshawahi kuwa kwenye tatizo au changamoto kubwa sana, kiasi kwamba ukahisi huwezi kutoka kwenye tatizo hilo tena? Je, ulivyokutana na tatizo hilo, uliwezaje kutoka?

Unatakiwa kukumbuka, haijalishi ni ulikutwa na tatizo gani, lakini unayo nafasi ya kubadili maisha yako. Kwa kuwa bado uko hai, nafasi ya kufanya mabadiliko kwa ajili ya leo na kesho bado ipo.

Unayo nafasi ya kurekebisha pale ulipokosea na ukaamua kutengeneza maisha yako upya. Ikiwa kweli kama utajitoa kikamilifu, amini utaweza kufanya mabadiliko.

Usihuzinuke, wala kukata tamaa, nafasi na uwezo wa kufanya mabadiliko, unao.


Post a Comment

0 Comments