BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 

Utaendelea kubaki na maisha yale yale miaka nenda, miaka rudi, kama hutaruhusu, watu wapya katika maisha yako, uzoefu mpya na mawazo mapya. Usiporuhusu hayo mambo utabakia hapo.

Kama unafikiria natania, endelea kuangalia tv kila wakati, uone kama utaweza kubadili maisha yako. Utaendelea kuwa na maisha hayo hayo kila siku za maisha yako.

Hebu acha kulala usingizi, amka hapo ulipo na nenda nje kajifunze kwa wengine, katafute mawazo mapya ya wengine na pata uzoefu mpya na utashangaa maisha yako yanabadilika pia.


Post a Comment

0 Comments