BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

Kama kuna kitu kweli umeamua kukifanya, kifanye kweli na acha kujaribu jaribu na kila siku kitu hicho kifanye na uhakikishe unasonga mbele tu.

Ikiwa utaamua kukifanya kitu hicho, halafu kesho ukaacha, utakuwa unakosea sana, maana mwendo wako unatakiwa uwe wa kwenda mbele na si kurudi nyuma.

Fanya ufanyavyo, ila hakikisha unasonga mbele, usiwe na 'momentum' yakurudi nyuma utakwama na hautafanikiwa kwenye maisha yako.

Kila siku, kila wakati, kaa kwenye mwendo wa kwenda mbele, mwendo wa kurudi nyuma, utakukwamisha,na utafanya maisha yako kuwa magumu.


Post a Comment

0 Comments