BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

Chochote unachokifikiria kwenye maisha yako, una uwezo wa kukipata, ikiwa tu utatoa mashaka/doubt. Sumu kubwa ya kufikia malengo yako ni mashaka. Unapokuwa na mashaka, ni kizuizi cha wewe kufanikiwa.

Jitahidi sana kuchukua hatua chanya, kila unapokuwa na mashaka. Siri ya kufikia malengo yako ni kuchukua hatua kwa chochote unachokuwa na wasiwasi nacho. Ukiweka wasiwasi tu, utashindwa.

Kama una wasiwasi na kupata pesa, fanya kazi ili upate pesa hizo. Kama una wasiwasi kupata wateja, wafate hao wateja walipo. Chochote ambacho una wasiwasi nacho, chukua hatua, wasiwasi utatoka.


Post a Comment

0 Comments