BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 

Kati ya kitu ambacho unatakiwa kukichunga sana katika maisha ni afya yako. nashangaa sana pale ninapoona watu wanashindwa kutunza afya zao kwa sababu ya kulakula tu hovyo.

Matatizo yanayotokana na kula hayawezi kutokeo kwa muda mfupi, wakati mwingine inachukua hata miaka thelathini. Kama hiyo iko hivyo, acha kuchimba kaburi lako mwenyewe kwa kutumia meno, chunga unachokula, vinginevo utapotea.


Post a Comment

0 Comments