BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.

 

Ukiwa kwenye chumba chenye giza halafu ukapapasa ‘switch’ ilipo ya taa na  ukafanikiwa kuiwasha, bila shaka utakuwa huna wasiwasi kama taa hiyo itawaka au haitawaka ni lazima utaamini taa hiyo itawaka tu.

Vivyo hivyo, ikiwa unaweka juhudi kila siku hata kama ni kidogo na kutengeneza nidhamu kila siku bila kuacha, ipo siku ni lazima mafanikio yako utayaona tu. Huhitaji hata kidogo kuwa na wasiwasi kama eti hutafanikiwa. Endelea kuweka juhudi, utafanikiwa tu.


Post a Comment

0 Comments