BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo


Ipo haja ya kuendelea kufanya na kuchukua hatua hata kama umekata tamaa, au hata kama una hisi una hofu kubwa. Hali hii ya kuendelea kufanya hata kama umekata tamaa na kujisikia hofu kubwa, inaitwa 'courage'.

Je, umeshawahi kuhisi kwamba huwezi tena kufanya unachotaka kufanya kwa sababu ya changamoto, lakini ukajipa muda kidogo tu wa kufanya? Kama kwako ilikuwa hivyo, basi ulifanya matumizi sahihi ya 'courage'.

Wengi wanaoshindwa, ni watu ambao hawawezi tena kufanya mara baada ya kukutana na changamoto na kujiona hawawezi tena kufanikiwa. Wengi wakishaona hawawezi, au wamechoka wanaacha kabisa.

Imani Ngwangwalu.

Post a Comment

0 Comments