BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo.



Ni muhimu sana kuwa siriaz na maisha, lakini ni muhimu pia kuwa na furaha. Kuwa siriaz muda wote pasipo kuwa na hata utani kidogo kwenye maisha huko ni kujichosha mwenyewe kwenye maisha yako.

Maisha na furaha, ni vitu vinavyoenda pamoja. Hata ukiwa siriaz vipi, ka utani kwenye maisha ni muhimu, maana ndio sehemu ya maisha pia. Huhitaji kuwa siriaz moja kwa moja, furaha ni muhimu.
Maisha na furaha ni vitu vinavyoenda pamoja. Acha kukunja sura hovyo, tafuta maisha yako, lakini pia jua jinsi ya kuyafurahia. Ukifanya hivyo, maisha kwako yatakuwa mazuri na bora sana.

Imani Ngwangwalu

Post a Comment

0 Comments