BREAKING ARTICLES

6/recent/ticker-posts

Hamasa ya mafanikio ya leo


Hakuna mtu ambae ni bora zaidi yako kwa hapa duniani, haijalishi wengine unawaona wana mali nyingi kiasi gani, au wana vitu vya thamani kiasi gani, wewe utabaki kuwa bora, kikubwa jiamini tu, na fuata ndoto zako, utafanikiwa.

Kama nilivyosema wewe ni bora, ndani yako uwezekano wa kufaulu na kufika mbali upo, na unaweza kuwa chochote muda wowote, hata kama kuna watu unawaona wako juu zaidi yako, bado haizuii wewe kuwa bora.
Haina haja ya kujiona wewe ni mnyonge, haina haja ya kujiona huwezi eti kwa sababu ya hali unayopitia kwamba ni mbovu kiuchumi, lakini wewe ni bora na una nafasi ya kubadili maisha yako kwa kiasi kikubwa.

Imani Ngwangwalu.

Post a Comment

0 Comments